Saturday, March 10, 2018

Kwa mji wa Mwangaza lyrics

Song: Kwa mji wa mwangaza
Artist: Godwin Ombeni

Kwa mji wa mwangaza hapana usiku, hautapita tena, hapana usiku
Mungu atayafuta machozi na hasara hapo miaka itakoma hapana usiku 2

Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru
na taa yake ni mwana kondoo..

Jua halitakiwi hapana usiku ...
Yesu ndiye nuru kweli hapana usiku  uuuh...
Mungu atayafuta machozi na hasara hapo miaka itakoma hapana usiku 4

kwa mji wa mbinguni
 hapana usiku,
 Milele furahini, hapana usiku
 Mungu atayafuta machozi na hasara, hapo miaka itakoma hapana usiku 3

 Kwa mji wa mwangaza hapana usiku, hautapita tena, hapana usiku 3


By:Vicent Mathias
Phone: 0755 042 030

No comments:

Post a Comment

TUMEKUBALIKA By: Ambwene Mwasongwe lyrics.

Song : Tumekubalika Artist : Ambwene Mwasongwe Chorus Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme Ametuchora kweli moyoni mwake tu uz...