Song: Tumekubalika
Artist: Ambwene Mwasongwe
Chorus
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2
Tu uzao mteule aaah aaaaah aaah
Ukuhani wa ki-falmee eeeh aaah aaah
Taifa takatifu aaah aaah oooh ooh
Watu wa milki ya Mungu aaah aaah oooh oh
VERSE
Nimemwona Mungu amewaleta kutoka
Misri wana nguvu kama za nyati watawavunja adui mifupa
vipande vipande watawachoma adui kwa mishale
yeye kawabariki nani aawalaani, Mungu kawabariki
nani wakuwapinga wana nguvuu aaah Mungu kawapa aaah
wanaweza aaah BWANA kawapa aaah........OOOH
Wanautishoo aaah BWANA kawapa aaah oooh oooh
Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo
kwa Bwana aaah tulipona kwa Farao
Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu,
Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa
Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee
Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke
Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi
Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo
hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande,
katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande yayaah yaah
TUMEKUBALIKA
Chorus
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za ki-falme ametuchora
kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2
Usiye lala aaah aah
Usiye lala aaaah aaah
Usiye lala aah aaah aaah
Usiye lala AAAA AAAAH
VERSE
Usiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na
Mungu wakitupwa jangwani wateseke wafe huligeuza bustanii
Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao hatukupambwa
kama wao tukapendeza zaidi yao, walitubadilisha majina hawakubadili
Hatima walipotutupa shimoni tukaibukia IKULU, kule walipotusukumia
ndiko Mungu hupumzikia, walidhani wanatukimbiza kumbe
WANATUSINDIKIZA
Bwana wangu ..........' YESU
YESUU YESU
Shindii ................... YESU
Mwamba......... YESU
weweeh ..... YESU
aaah haaaaaaa aah
Jiwe langu YESU
Ngome YESU
Mwambaaa aaah
Bwana YESU
Oooh uuuh
Jiwe langu YESU
Mwaminifu YESU
Haki YESU
nguzo YESU
Jina lako YESU
Haki YESU
Mwaminifu YESU
Weweeee aaaaaah aaaaah
Chorus
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za kifalme ametuchora
kweli moyoni mwake tu zao wa agano 2
KWA MTINI JIFUNZENI BLOG
Jifunze Maandiko mbalimbali ya NENO la MUNGU ikiwemo na uchambuzi yakinifu/sahihi kupitia maandishi na mfumo wa sauti(audio)
Sunday, August 19, 2018
Saturday, March 10, 2018
Kwa mji wa Mwangaza lyrics
Song: Kwa mji wa mwangaza
Artist: Godwin Ombeni
Kwa mji wa mwangaza hapana usiku, hautapita tena, hapana usiku
Mungu atayafuta machozi na hasara hapo miaka itakoma hapana usiku 2
Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru
na taa yake ni mwana kondoo..
Jua halitakiwi hapana usiku ...
Yesu ndiye nuru kweli hapana usiku uuuh...
Mungu atayafuta machozi na hasara hapo miaka itakoma hapana usiku 4
kwa mji wa mbinguni
hapana usiku,
Milele furahini, hapana usiku
Mungu atayafuta machozi na hasara, hapo miaka itakoma hapana usiku 3
Kwa mji wa mwangaza hapana usiku, hautapita tena, hapana usiku 3
By:Vicent Mathias
Phone: 0755 042 030

Sunday, January 28, 2018
KIJANA BADILI FIKRA NA MATAZAMO WAKO
KUCHEZA BAHATI NASIBU NI UVIVU WA KUFIKIRIA..!
Mtu yeyote unayemuona amefanikiwa katika nafasi fulani ya maisha ,ujue si Kwa bahat Mbaya au Nzuri iliyomfanya awe hivyo unavyomuona Leo Bali ni kwa MAKUSUDI.
Kwa kujitambua Yeye ni nani, wapi alipo Sasa, Ni wapi anataka kuwepo Kesho na njia gani atumie Ili afike pale anapotaka kufika.
Na kikubwa kwenye maisha ni kuwa na
, maana mafanikio ni jambo la mchakato unaokutoa sehemu moja kwenda nyingine kidogo kidogo hatimaye unajikuta Umefika ulipopataka.
Lakini vijana wengi wa Sasa wanafikiri kufanikiwa ni jambo linalopatikana #instant yaan kufamba na kufumbua, leo alale masikini Kesho aamke Tajiri wanaishi kwa matumaini na si Kwa MAKUSUDI
Ndio maana Miaka ya hivi Karibuni kumekuwa na wimbi Kubwa Sana la michezo ya Kubashiri(ku Bet), droo za bahati nasibu nk, Sehemu Kubwa ya matangazo kwa Sasa kwenye vyombo vya Habari ni matangazo yanayohusu BAHATI NASIBU na vijana ambao wenye Nguvu wanaotegemewa kuleta mabadiliko ya kiuchumi ndio wadau wakubwa wa michezo hiyo, Ina nihuzunisha kwa kweli.
Vijana wengi ni WAVIVU si tu wa kufanya kazi Bali pia kufikiria, wengi walitegemea KUAJIRIWA na pale Ajira zinapoonekana kuwa ngumu hawana PLAN B ya nini wanatakiwa wafanye, Jibu lao La mwisho kwa Sasa ni kushinda na Simu zao viganjani wakifanya mihamala kwenye makampuni ya bahat nasibu, labda siku moja watabahatika kupokea mamilioni ya PESA pale watakapotangazwa kuwa washindi.
Na labda wengi hawafahamu, wanaotajirika na michezo Hiyo si mwananchi mmoja mmoja anayecheza Bali ni makampuni hayo ya bahati nasibu, ebu fikiria ni watanzania wanagapi wanacheza kila siku kwa kutoa pesa zao na ni sh ngapi wanaingiza kutoka kwa watanzania wanaosema maisha magumu kujitajirisha? na kumbuka anayebahatika kuwa mshindi ni mtu mmoja au wawili kwa wiki au mwezi.
Sasa kama Wanaocheza tuseme ni milioni moja kwa siku na mshindi ni mtu mmoja Tu kati ya hao,anayepatikana baada ya wiki, bado unasubiria foleni yako na wewe utangazwe kuwa mshindi kati ya hao? Unaweza ukajikuta umezeeka na hujatangazwa kuwa mshindi.
Hivi ni kweli ukomo wetu wa AKILI Umefika Mwisho Hapo kucheza bahati nasibu❓ Ukishindwa KUFIKIRI basi watu Wengine WATAFIKIRI kwa ajili yako.
RAFIKI_AMKA
MAFANIKIO HAYAJI MARA MOJA.
..........................
Mzalendo
John C Ntogwisangu
Watsap 0712463344.
Kwa mtini jifunzeni #
Blogger: Vicent Mathias
Phone: 0755 042 030.

KUWA NA YESU KRISTO
MAMBO MUHIMU
Mambo muhimu matano (5) ya kufanya au kuwa nayo ili kukua kiroho.
1. Kumpokea Yesu kama BWANA na Mwokozi wa maisha yako pamoja na kujazwa Roho Mtakatifu.
Yohana 1:12-13
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
2. Kuwa na Moyo safi
Mathayo 5:8 Heri wenye moyo safi;
Maana hao watamwona Mungu.
pia unaweza kusoma katika Zaburi 33:1
3. Kudumu katika Neno la Mungu.
Wakolosai 3:16-17 Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.
4. Ambatana na watu wenye imani moja sawa na wewe
2 Mambo ya Nyakati 15:2;.......... BWANA yu pamoja nanyi, mkiwa pamoja naye; nanyi mkimtafuta ataonekana kwenu; lakini mkimwacha atawaacha ninyi. 2 Timotheo 2:22 Lakini zikimbie tamaa za ujanani; ukafuate haki, na imani, na upendo, na amani, pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi.
5. Punguza marafiki
Mithali 18:24 Ajifanyiaye rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe;
Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu.
Kwa Mtini Jifunzeni#

Saturday, November 4, 2017
Subscribe to:
Posts (Atom)
TUMEKUBALIKA By: Ambwene Mwasongwe lyrics.
Song : Tumekubalika Artist : Ambwene Mwasongwe Chorus Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme Ametuchora kweli moyoni mwake tu uz...