Naitwa Vicent Mathias Napenda kuwajulisha ya kwamba kuanzia tarehe 01 mwezi wa 11 mwaka huu 2017 nitaanza kupost Masomo ya Biblia / NENO la MUNGU na mengine mengi yahusuyo INJILI kwa ujumla wake kupitia hii hii blogSpot yangu iitwayo Kwa Mtini Jifunzeni blog.