Sunday, August 19, 2018

TUMEKUBALIKA By: Ambwene Mwasongwe lyrics.

Song: Tumekubalika
Artist: Ambwene Mwasongwe


Chorus
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2

Tu uzao mteule aaah aaaaah aaah
Ukuhani wa ki-falmee eeeh aaah aaah
Taifa takatifu aaah aaah oooh ooh
Watu wa milki ya Mungu aaah aaah oooh   oh

VERSE
 Nimemwona Mungu amewaleta  kutoka
Misri wana nguvu kama za nyati watawavunja adui mifupa
vipande vipande watawachoma adui kwa mishale
yeye kawabariki nani aawalaani, Mungu kawabariki
nani wakuwapinga wana nguvuu aaah Mungu kawapa aaah
wanaweza aaah BWANA kawapa aaah........OOOH
Wanautishoo aaah BWANA kawapa aaah oooh oooh

Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo
kwa Bwana  aaah tulipona kwa Farao
Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu,
Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa
Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee
Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke
Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi
Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo
hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande,
katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande yayaah yaah
TUMEKUBALIKA

Chorus
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za ki-falme ametuchora
kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2

Usiye lala  aaah aah
Usiye lala aaaah aaah
Usiye lala   aah aaah  aaah
Usiye lala AAAA AAAAH


   VERSE
Usiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na
Mungu wakitupwa jangwani wateseke wafe huligeuza bustanii
Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao hatukupambwa
kama wao tukapendeza zaidi yao, walitubadilisha majina hawakubadili
Hatima walipotutupa shimoni tukaibukia IKULU, kule walipotusukumia
ndiko Mungu hupumzikia, walidhani wanatukimbiza kumbe
WANATUSINDIKIZA


Bwana wangu ..........'    YESU
YESUU                          YESU
Shindii ...................       YESU
Mwamba.........               YESU 
weweeh .....                    YESU
aaah haaaaaaa  aah
Jiwe langu                     YESU
Ngome                          YESU
Mwambaaa  aaah
Bwana                         YESU
Oooh uuuh

Jiwe langu                   YESU
Mwaminifu                 YESU
Haki                            YESU
nguzo                           YESU
Jina lako                       YESU
Haki                              YESU
Mwaminifu                     YESU
Weweeee    aaaaaah  aaaaah

Chorus
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za kifalme ametuchora
kweli moyoni mwake tu zao wa agano 2





6 comments:

  1. Natamani kuhuskiza wimbo huu milele yani nimeupenda haswa...tulikula mtama kwa maji

    ReplyDelete
  2. Daaaah this song is much blessing I really like ....mungu azidi kumwinua mtumishi wake mwasongwe ....this is the best gospel song of the year

    ReplyDelete
  3. This song is very powerful. God bless you and anoint you for higher levels


    "Walidhani wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza"

    ReplyDelete
  4. The last verse 🔥🙌🏻 HAKIKA TUMEKUBALIKA

    ReplyDelete
  5. Neema ya Mungu inatosha siku zote

    ReplyDelete

TUMEKUBALIKA By: Ambwene Mwasongwe lyrics.

Song : Tumekubalika Artist : Ambwene Mwasongwe Chorus Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme Ametuchora kweli moyoni mwake tu uz...